Wapi hapa

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Mwenye kuelewa eneo hili ni wapi atujuze
 
Attachments

  • bandari house.jpg
    6.9 KB · Views: 376
Hayo ni majengo ya BANDARI HOUSE ndani ya jiji la TANGA.
jengo refu zaidi Tanga nzima..
hiyo ni barabara ya independence avenue...
 
Hahaha huo mtaa ukinyoosha moja kwa moja hadi zilipo ofisi za Mkuu wa Mkoa, ndipo kidume nilikuwa nikiishi...
 
Hapo aliposimama mpiga picha ni TOYOTA, karibu na hapo kwenye jengo la TANESCO kuna mzee wetu mtaalamu wa kutengeneza matunda, unauziwa kwa sahani..
 
Hahaha huo mtaa ukinyoosha moja kwa moja hadi zilipo ofisi za Mkuu wa Mkoa, ndipo kidume nilikuwa nikiishi...

Eeeh nimepakumbuka pale......si pale tulikunywa papli papli......
 
Eeeh nimepakumbuka pale......si pale tulikunywa papli papli......

Hehehe...sio hapo bhanaaa Dr, kule kwa kipapli papli ni Chumbageni.

Hapo pichani ni karibu kabisa na pale Nyumbani Lounge (Kwa Dereva wa Mkuu wa Mkoa)...
 
Hehehe...sio hapo bhanaaa Dr, kule kwa kipapli papli ni Chumbageni.

Hapo pichani ni karibu kabisa na pale Nyumbani Lounge (Kwa Dereva wa Mkuu wa Mkoa)...

Oohooo......basi itabidi niende tena ili niweze kubalansi......btw......how are you Dr......?
 
Oohooo......basi itabidi niende tena ili niweze kubalansi......btw......how are you Dr......?

Yeah nitakupeleka tena huko....kwa hisani ya Arabela na Babu Dark City...

Mie nipo pouwa sana Dr....baridi bado yaleta matata?:becky:
 
Last edited by a moderator:
Hehehe...sio hapo bhanaaa Dr, kule kwa kipapli papli ni Chumbageni.

Hapo pichani ni karibu kabisa na pale Nyumbani Lounge (Kwa Dereva wa Mkuu wa Mkoa)...
Usinikumbushe mitaa hiyo bana, mi ntamkumbuka Madame B sasa hv, na kumbatio la karne!
 
Last edited by a moderator:
Hapo aliposimama mpiga picha ni TOYOTA, karibu na hapo kwenye jengo la TANESCO kuna mzee wetu mtaalamu wa kutengeneza matunda, unauziwa kwa sahani..

hahaha umenikumbusha mbali sana, nilikua nikipita kwa huyo mzee nikila matunda kila nikitoka school popatlal
 
Hahaha...lile kumbatio lilikata machungu yote kwa shem wangu Madame B

Hahahaha............ shem watu8, yaani nililiaje juu ya kifua cha PakaJimmy + na lile joto, Dah!!!!!!
Afu ukikutana nae huyo PJ mwambie ile hengachifu yake bado ninayo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…