J Joleki Member Joined Nov 3, 2013 Posts 27 Reaction score 2 Nov 24, 2013 #1 Habari wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua gereji kwa Dar yenye mafundi wazuri wa kunyoosha bodi za magari pamoja na kupiga rangi vizuri.
Habari wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua gereji kwa Dar yenye mafundi wazuri wa kunyoosha bodi za magari pamoja na kupiga rangi vizuri.
L lifeline Member Joined Sep 10, 2013 Posts 63 Reaction score 9 Nov 26, 2013 #2 Kijitonyama bahari motors
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Feb 5, 2016 #3 Nenda Pachoto pale Kinondoni utakuna na watalaam wa kunyoosha na rangi pia.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,878 Reaction score 36,242 Aug 5, 2019 #4 Kinondoni ipi boss Jongwe said: Nenda Pachoto pale Kinondoni utakuna na watalaam wa kunyoosha na rangi pia. Click to expand...
Kinondoni ipi boss Jongwe said: Nenda Pachoto pale Kinondoni utakuna na watalaam wa kunyoosha na rangi pia. Click to expand...