You mean nje? Ulaya,nchi za Magharibi sipataki kabisa.kwetu ughaibuni !!!
cousin kumbe wewe mkali umeshaagiza mitoko ya uvaaji kweli nakuaminia
wala sitaki..haaa! Hukohuko yani unakataa bahati? Hutaki kupanda Emirates?
haaa! Hukohuko yani unakataa bahati? Hutaki kupanda Emirates?
Umeshangaa ee kama mimii ee
Ooh mimi nna sura mbaya afu hata hela sina.
This time nahitaji nikuone na wewe.
Just like the old days
sijui kama naweza kuja maana niko kijijini
mweeeh! Pole bana hamia mjini tule bata si unaona maisha yenyewe haya ukienda leba two things envolved!!! Loh!
Mie manzi wa kupare bana, chezeiya mimi weye. Wacha tule ujana... BTW ujana haurudi mara mbili eeh!
Honey Faith njoo sikieee!!!