Tamaa zakutaka maisha haraka na ushauri mbovu ndio ulimponzaIna maana dogo kachuja kiasi kwamba hawekwi ata kwenye wachezaji wa akiba? Alinivutia sana na uchezaji wake akiwa simba, watu walimtabiria mengi ila nasikitika kuona hajafika mbali.
vp kuhusu domayo frank...roho mbaya za kina nani zimemponza??huwez kuziama hz timu kubwa za bongo kwa nyodo...Roho mbaya za viongozi wa mbumbumbu ndio zimempoteza.
Tamaa zakutaka maisha haraka na ushauri mbovu ndio ulimponza
Sifa na ushauri wa ajabu kutoka kwa viongozi vimemponza
Dogo alikuwa na uwezo mzuri tu mpaka anatoka simba ila ghafla tu naona kapotea kabisa kwasababu hasikiki ata kwenye benchi la wachezaji wa akiba.Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk

Figisu zilikuwepo kweli wakati anafanya maamuzi ya kuhama simba kwa ajili ya maslahi yale naya familia yake, na wala hakuna kosa lolote kuhama timu, swali hapa ilikuwaje kiwango chake kiporomoke ghafla hivyo wakati alikuwa kwenye kiwango kizuri wakati anatoka simba na watu walimtabiria makubwa hapo mbeleni.hyo ni nature ya binadamu yoyote kutafuta malisho bora zaidi kuliko sehemu aliyopo, singano alifanya uamuzi sahihi kuondoka simba coz walimuahidi kumfanyia vitu vingi lkn hawakuvifanya sasa ulitka afanyaje? aendelee kuvumilia ujinga ...now yupo azam analipwa vizuri tu izo changamoto za kukaa benchi wamepitia wengi tu! ye sio wa kwanza
Frank Domayo wakati anatoka yanga kwenda azam kulikuwa na maneno jambo ambalo nila kawaida kwa soka letu la bongo, huyu alipotea kwa muda kwasababu alivyo fika azam alikuwa na majeraha ikamlazimu kupelekwa Africa Kusini kufanyiwa operesheni, hvy alikaa nje ya uwanja kwa muda kidogo,naona karejea ingawa makali yale sio km enzi zile akiwa jangwani.Alidanganyika na kuttukana Wahenga. Hizi timu za Kariakooo usibishane nazo Kisa Azam. Kiko wapi akina Domayo, Mwaikimba, Singano, Mapunda nk