Wapi alipo Maalim Seif kwa sasa?

Ukimya wake unaweza leta wasiwasi kwa wananchi wake wakahisi ameshapokea mlungula.
 
Ningependa kujua walichomzushia ili nifanye usafi kwa machungu zaidi ya jana, maani hii ya leo ni ya JPM.
 
Unamtaka?
 
Yuko katika mazungumzo na viongozi wa CCM. Kinana amesema jana
Kinana wamesema hajui kama watafikia mwafaka.
 
Kuna habari zimeanza kuzajaa Mtaani kwamba kashatangulia mbele ya Haki
 

Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwenye group moja hvi, sijui kama ni kweli au ni uzushi wa wahuni tuu.
 

Attachments

  • 1449643906110.jpg
    28.7 KB · Views: 582
page ya ITV wamekanusha hio habari
 

Attachments

  • 1449644633136.jpg
    60.9 KB · Views: 513
Wanao zusha mungu awalaani , na kama wana mpango huo basi. waache......maana namba zitasomeka.....bila kikomo....huyu ndio anaetuliza mambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…