Hakuna anachonifurahisha nacho Jose Chameleon kama bitrates/midundo iliyoshiba, viitikio na umaliziaji wa miziki.
Pia ana sauti inayojitosheleza mno kwa pumzi ya kuimba mda mrefu bila ya kukatisha sauti(kuweka weka vituo).
Nyimbo zake huwa zinaniondolea sana stress kwa 70%, kunipa elimu na kuniburudisha sana.