mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
jamani najua mumeamka salama.namuulizia ELIZABETH DOMINIC yuko wapi nimejaribu kumchungulia humu ndani simuoni siku nyingi haonekani.mwenye taarifa zake tafadhali
Nikupe namba zake za simu umtafute?
Ningefurahi sana MENTION<4837599>Madame B MENTION. Ila umeamkaje
Ya uongo!hahahahahah madame hyo no ya kweli?
Nimepiga haipokelewi bana
shostii za siku kadhaa? Nimekumiss saaaaana
Una uhakika gani kama alilala?
Ya uongo!
Nimelala bhana,
c unaona nimetoka kuamka?
yah nakuona na night dress hiyo au sijui ni pajama!
Hii ni Night dress kitu cha Kioo.
kweli ni ya kioo, maana ninavyovishuhudia....ngoja nizibe mdomo.