Wapenzi wa Wayback tukutane hapa

huo wimbo wa kwanza ulikua unapigwa sana kwenye sherehe hasa wakati wa chakula...lol
 
Nyimbo inaitwa "tommorow" ya msanii anaitwa Brandy...wimbo ulitoka mwaka 1998 hapo akiwa na umri wa miaka 19..

Ni wimbo wenye hisia Kali Sana na uliomchukua muda mrefu kuurekodi maana alikuwa yupo kwenye maumivi makali ya kuachwa na mpenzi wake ambaye nae alikuwa msanii wa kundi la boys to men akijulikana kwa jina la Wanya Morris

Hivyo alikuwa anaurekodi huku analia hvyo ilimfanya kurudia rudia zaidi ya saa kadhaa..

Mahusiano yao yalidumu kwa miaka miwili,na Brandy ndie aliemshobokea mshkaji hapo akiwa na umri wa miaka 16,kwa kifupi mchizi ndie aliefungua utepe,hvyo ilimpelekea Brandy kuchanganyikiwa na penzi la mtu mzima


 
Inaelekea bidada aliumia sana...sema sijui kama badaye alipoa na kupata wa kumtuliza au ndo alibakia kuwa mtu wa maumivu tuuu

Natamani wkt mwingine mkuu uje na mwendelezo wa maisha ya kimahusiano ya wawili hawa baada ya hii...Nani alifanikiwa zaidi ya mwingine... maana,siyo Kwa mashairi yenye uchungu hivi mzee
 
This I Promise you... Nsync

Your browser is not able to display this video.
 

Absolutely folk yaan unajua sio poa umepita mle mle mm sio mkongwe sana lakini nna old soul kwa hyo naelewa[emoji28]
 
Shania Twain

From this Moment...

Your browser is not able to display this video.


Sijui kwa nn aliuimba ila kila nikiusikiliza humkumbuka yule mtu namjali,namthamini,namheshimu,namfurahia,nampenda...
Nikiwa mbali naye huutafuta wimbo huu kila ninapomkumbuka...nikiusikiliza ni kama namwona anazungumza yeye
 
Lina Ronstadt na Aaron Neville wanaimba 'Don't know Much' 1989

Your browser is not able to display this video.
 
Lina Ronstadt hapa Yuko na James Ingram wimbo 'Somewhere Out There' 1986
Your browser is not able to display this video.
 
Nimeupenda huu uzi maana unanikumbusha miaka hiyo natamani kila mwenye kumbukumbu yoyote ya wimbo atupie me wimbo naoupenda ni Milli Vanilli unanikumbusha nikiwa mdogo kuna jirani alikuwa anapenda kuuweka siku za jumamosi
 
wakuu nahitaji hii nyimbo everyday we celebrate kwenye mahafali inapigwa sana imeimbwa na mwanadada bado sijamfahamu anaitwa mwenye kuijua anipe link wakuu
 
Mbona zoote sifa kwa nyimbo za nje, hapa nyumbani mumesahau????, Bujumbura...Vijana Jazz.........Narudi nyumbani..Matimila (Sura mbaya- Remmy Ongala)..........Muziki wa Zamani jaama👍

NB: Ningependa Kununua Huo mziki wetu wa zamani na niko nje ya nchi, nawezaje??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…