Naam nimekaribia.Pana wimbo shairi lake linasema
Na wala si hoja wengi kuwa nao
Mpende mmoja kati yao hao
Hiyo ngoja ngoja
Mwenzio kafika
Utajakuta mapenzi hayapo
Kama huyajui uliza wenzio
Wewe mwenyewe.
Nitaupata wapi huu wimbo?
Kwenye hiyo albamu kuna wimbo naupenda "nilidhani mimi chanda na wewe ni pete yangu nikawa ninakupenda kudhani ni mwenzangu...sikujua nimefuga nunda lililowashinda wenzangu....ama kweli mzazi wako alokuzaa kala hasara...."