Sasa hivi inaitwa 24 Live another day! Kama mnakumbuka mwisho wa season ya 8, alikimbia marekani kukwepa mashtaka, na akakimbilia Uingereza. Sasa inaendelea huku akitafutwa na serikali za marekani na urusi (baada ya kumuua diplomat wao). Episodes zimeshaachiwa tangu tar 2 mwezi huu
Kwa uelewa wangu season finale inamaanisha ni mwisho wa hiyo season tajwa,,,na si mwisho wa series yenyewe, namaana hakuna episode nyingine itakayotoka tena kuunda hiyo season
Kwa wale waliokuwa wanafuatilia tamthilia ya 24 (Jack Bauer) ile season 9 iliyokuwa inasubiriwa tayari imetoka na sasa imefikia episode ya 5. Unaweza kuidownload na kuendelea kuburudika.
Kwa wale waliokuwa wanafuatilia tamthilia ya 24 (Jack Bauer) ile season 9 iliyokuwa inasubiriwa tayari imetoka na sasa imefikia episode ya 5. Unaweza kuidownload na kuendelea kuburudika.