Dogo kwenye series una A+ ila necta form four ukataga yai lako vizuuri kabisa bila wasi!Namwona Alex Mahoney, Fernando sucre,Eng.Michael Scofield & Lincoln Burrow.
Hapoo kakosa lile gaidi leusii Wyatt Mathewson sine siikumbuki
Hahaa yaani mkuu huwez amini Nili score kafoo kangu vizurii Vipi nikupunguzie ka F kamojaDogo kwenye series una A+ ila necta form four ukataga yai lako vizuuri kabisa bila wasi!
Yap toka apigwe chini kule gerezani alikua mweupe maana harakati za mtaa alichemka hasa alipokua ktk gereza la SonaBellick alikuja kuwa mchumba sana
Wentworth Miller aka Michael scofield is gay
Hahaa kweli kabisa. Sasa sijui nini kifanyike.
Uniform zilkuwa zinampa kiburi sana,Bellick nilikuwa namchukia kinoma lkn baadae nilimuona huruma sanaYap toka apigwe chini kule gerezani alikua mweupe maana harakati za mtaa alichemka hasa alipokua ktk gereza la Sona
Hapa walimuona T- bag wakati walidhani hayupo tena. Hapo Lincoln anajikuta naropoka THAT SON OF BIT..CH IS STILL ALIVE!!Mnakumbuka hii scene? View attachment 790763
No haikuwa Sona, ilikua ndio first escape from fox river, na alie mkata kiganja T-bag ni John Abruuzi...John aliitumia hii nafasi kama kulipiza kisasi baada ya kuchanwa na wembe shingoni na kunusurika kifo kule gerezani na huyo T-bag.Alexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
No James Whistler hakuficha hela, huyo alikua bwana mdogo akiwa kama espionage wa The Company "General" akiwa under-cover as a fisher-man,James Whistler:Huyu mzee alificha hela zake chini ya ardhi kijiji alikuja kufa Kwa kidonda
Lechero: huyu jamaa alikuwa mbabe sana gerezani ila mwisho wa picha akaja kukalishwa
Don Self: huyu jamaa alikuwa mbinafsi sana, mwisho wa picha akaja akawa ndondocha
Gretchen Morgan: huyu demu anaroho ngumu sana
Sawa sawa mkuu nimekupata. Hivi kuna movie ambayo mwanadada Morgan amecheza apart from PB?No haikuwa Sona, ilikua ndio first escape from fox river, na alie mkata kiganja T-bag ni John Abruuzi...John aliitumia hii nafasi kama kulipiza kisasi baada ya kuchanwa na wembe shingoni na kunusurika kifo kule gerezani na huyo T-bag.
tatizo moja John hakuwa na msimamo na mipango yake ikapelekea kufa kizembe sana.
Zipo lkn hakuwa main characterSawa sawa mkuu nimekupata. Hivi kuna movie ambayo mwanadada Morgan amecheza apart from PB?
Hakuna mtu mwenye roho ngumu na mbishi kama T-bag. Huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzo lakini asee huyu jamaa amecheza ile role vizuri sanaJames Whistler:Huyu mzee alificha hela zake chini ya ardhi kijiji alikuja kufa Kwa kidonda
Lechero: huyu jamaa alikuwa mbabe sana gerezani ila mwisho wa picha akaja kukalishwa
Don Self: huyu jamaa alikuwa mbinafsi sana, mwisho wa picha akaja akawa ndondocha
Gretchen Morgan: huyu demu anaroho ngumu sana
Sio Sona pale ndio wametoroka Fox RiverAlexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
Hakuna kitu, bora hata ScofieldAlexander Mahone akili nyingi huyo mzee.