Wapenzi wa mashuleni, vyuoni

Me Nakushangaa Mana Sijasoma Sekondari.Wewe Umekariri Kua Kila Mwana Jf Kafika Sekondari?Mie La Saba Bwana!!

Acha uongo BUMIJA, mbona na wewe ulikuwa unakimbizana nao hapa makanyagio MUCE?
 
Nilikopeshwa 100%ila Nimekaa Hostel Miaka3 Na Sijawai Panga Nje Na Manzi Kama Masela Man


Hivi wewe mtoa mada BUMIJAumelewa bangi au? mARA UNASEMA UMEISHIA LA SABA, MARA UNASEMA UMEKAA HOSTEL CHUO MIAKA MITATU, MARA UNASEMA UMEDISCO, MARA UNASEMA UNAPIGA DEBE UBUNGO. Who the hell are you cheating mother f..........? Ujue wengine tunakufahamu ABC zako zote details zako in and out, ila tunakuheshimu tuu na ulofa wako. JF sio mahali pa kuja kudanganya watu, MODS please sheria inasemaje mtu anapokuja kutudanganya hapa jukwaani kutupotezea muda wetu?
 
Last edited by a moderator:
Yeah wapo waliokutana chuo na sasa ni mke na mume tena wengi tu


wapo pia walokutana kwakukoaea number, chating facebook, twiter, imo, n.k sembuse chuo??

ili binadamu wapendane lazima wakutane sasa kukutana huko sio lazima kanisani/msikitini!! maeneo yoyote waweza kutana/ongea na mtu mkapendana kiaha ndoa au vilevile mkashindwana.

kikubwa ni nia ya waliokutana si vinginevyo!! maana wapo walokua & kuishi pamoja,walokutana kanisani, msikitini na hawakudumu. watu wanaweza kutana popote na wakawa wapenzi wa kweli
 
Mmmh!!!! Aise Ile Sehemu ni Kudanganyana tu... Mapenzi Ya Chuo tu, tukimaliza wasalimie
 

Ujiko at Work
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa huna jicho la kuona unapoelekea ndoa itakujaje? Hayo ni maamuzi ya wawili au tamaa tu. Mbona wengine tumekutana na wake zetu vyuoni.
 
Lakini Kumbuka Chuo Ulienda Kusoma So Kitu Cha Kuzngatia Unapoenda Chuo Ni Masomo, Hiyo Sio Ajali Ni Ujinga Wa Kutegmea Mapenzi Zaidi Ya Kilichompeleka!! Binafsi Toka Primary, Chuo Mpaka Job Sijawahi Kuwa Na Demu Maeneo Hayo.

inategemea na malengo yako.
chukua mfano wa binti anayesoma udaktari na anamalengo ya kupata PHD, je naye asubiri mpaka afikie hapo? maana degree tu ana miaka 25..huyo lazima aolewe huku bado anasoma.
mbona vyuoni kuna wanandoa wengi tu, na wanaishi vizuri, ishu ni mipango sahihi.
 
Kuoa/Kuolewa Ni Mipango, Sio Lazima Katika Umri Huo!!! Watu Wanaishi Na Wapenz Wao Wa Nje Ya Chuo Then Ndoa Inafungwa Wakiwa Kwenye 32 N.k Hivi Na Wana Familia Kubwa Tuuuu.
 

Acha Mkwala Wewe.Unanijua Kwa Undani Wewe Ni Usalama Wa Taifa?
 
Last edited by a moderator:
Afu Ukijua Habari Zangu Inakusaidia Nini??Take Your Time Man Sio Lazima Uchangie Kila Uzi We Oli Chafu
 
kwanza nakushukuru mtoa mada nnchotaka kusema nikwamba love its just like an accident hamna anayesema ngoja nianze kupenda. ila ni automatically so cha muhimu in kuwa muangalifu usije vuruga ambition zako huko chuo na itakuwa hivyo kama kweli unafuture na huyo demu ila chamsingi concetrate na masomo.
 

Ni Kweli Nimekusoma Kaka
 

Uchumba Popote, Posa Nyumbani Kwa Kina Binti!
 
Lakini Kumbuka Chuo Ulienda Kusoma So Kitu Cha Kuzngatia Unapoenda Chuo Ni Masomo, Hiyo Sio Ajali Ni Ujinga Wa Kutegmea Mapenzi Zaidi Ya Kilichompeleka!! Binafsi Toka Primary, Chuo Mpaka Job Sijawahi Kuwa Na Demu Maeneo Hayo.

Kwahiyo mkuu chuo umeenda kusoma, usiwe na mchumba soma tu.

Kazini umeenda kufanya kazi, fanya kazi tu usiwe na mpenzi.

Kanisani/msikitini umeenda kusali, sali tu.

Kwenye dala dala hivyo hivyo na sehemu nyingine. Basi kwa jinsi hiyo watu wasingekuwa wanapata wenzi wao.
 
No!! Nimezungumzia Chuon Na Kazini. Nadhani Unaelewa!!
 

Ngoja Nicheke Mana Jf Never Make Your Loose Mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…