Wapenzi wa mashuleni, vyuoni

Hahahaha me nlishawah kumkimbia dem me nlikuwa mwaka wa mwisho ye anakuja first year
 
Akikimbia
Mrudishe umkomeshe....
Si wajua Panya anapenda Butter, mpe butter atarudi tuuu
 
Me Nakushangaa Mana Sijasoma Sekondari.Wewe Umekariri Kua Kila Mwana Jf Kafika Sekondari?Mie La Saba Bwana!!


Katika bandiko lako umesema umefika chuo halafu unajikana tena!!!! mmmmmhhh
 
Mkuu ulichoandika hapo kitaalamu tunaita"uandishi malaya"..Yani unarukaruka tu..unaongea hiki kabla hujamaliza umerukia hiki..Jaribu kuiunga story yako vizuri

Kwel kabisa mkuu... jamaa alikua na point ila kashindwa kuipangaa
 

Kumbe ulikopeshwa karo? Madhara yake ndio hayo! Sisi tuliojilipia tulijua ugumu wake ndio maana hatukuingilia umalaya!
 
Kumbe ulikopeshwa karo? Madhara yake ndio hayo! Sisi tuliojilipia tulijua ugumu wake ndio maana hatukuingilia umalaya!

Nilikopeshwa 100%ila Nimekaa Hostel Miaka3 Na Sijawai Panga Nje Na Manzi Kama Masela Man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…