[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] " Uandishi Malaya"Mkuu ulichoandika hapo kitaalamu tunaita"uandishi malaya"..Yani unarukaruka tu..unaongea hiki kabla hujamaliza umerukia hiki..Jaribu kuiunga story yako vizuri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] " Uandishi Malaya"
Kweli!! Ngoja Arudi, "Uandishi Malaya" Nimebaki Nacheka Sanaa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] !!Mkuu ulichoandika hapo kitaalamu tunaita"uandishi malaya"..Yani unarukaruka tu..unaongea hiki kabla hujamaliza umerukia hiki..Jaribu kuiunga story yako vizuri
Lakini Kumbuka Chuo Ulienda Kusoma So Kitu Cha Kuzngatia Unapoenda Chuo Ni Masomo, Hiyo Sio Ajali Ni Ujinga Wa Kutegmea Mapenzi Zaidi Ya Kilichompeleka!! Binafsi Toka Primary, Chuo Mpaka Job Sijawahi Kuwa Na Demu Maeneo Hayo.kukimbiwa ni ajali kazini....hata asingekuwa mwanachuo suala la kupigwa kibuti au kutelekezwa lipo tu
Kabla ya hapo walikua wasafiiiShule za kata zimetuharibia watoto
Mkuu ulichoandika hapo kitaalamu tunaita"uandishi malaya"..Yani unarukaruka tu..unaongea hiki kabla hujamaliza umerukia hiki..Jaribu kuiunga story yako vizuri
Lakini Kumbuka Chuo Ulienda Kusoma So Kitu Cha Kuzngatia Unapoenda Chuo Ni Masomo, Hiyo Sio Ajali Ni Ujinga Wa Kutegmea Mapenzi Zaidi Ya Kilichompeleka!! Binafsi Toka Primary, Chuo Mpaka Job Sijawahi Kuwa Na Demu Maeneo Hayo.