jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,163
- 8,737
Sory suzuki mkuu
Hahahah toyota escudo
Hahahah toyota escudo
Hii gari ni kaliiiToyota Mark X
Mwaka:2009
2500CC
Bei: Milioni 20
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 902020View attachment 902021View attachment 902022View attachment 902023View attachment 902024
Tayari ishatokaBado ipo hii?
Na maputty yote hayo bado unasema 'iko kwenye hali nzuri sana' maajabu hayaToyota escudo
Ipo kwenye hali nzuri sana
Manual
Price 3.5 milion
Contacts 0623953036View attachment 918727View attachment 918729View attachment 918730View attachment 918731
Hii ni reflection au imewahi kugongwa?Toyota Ist
Mwaka:2006
1290CC
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 919583View attachment 919584View attachment 919585View attachment 919586View attachment 919587
michubuko kibao,haiwezi kuwa kwenyevhali nzuri hiyo halafu hata jina la gari hujui tangu lini Escudo ikawa toyota?Toyota escudo
Ipo kwenye hali nzuri sana
Manual
Price 3.5 milion
Contacts 0623953036View attachment 918727View attachment 918729View attachment 918730View attachment 918731
Njoo na fundi wako mlikaguemichubuko kibao,haiwezi kuwa kwenyevhali nzuri hiyo halafu hata jina la gari hujui tangu lini Escudo ikawa toyota?
Ipo namba DL na jamaa hua haitumii sana naweza kukutanisha nae umuulize maswali yako akupe maelekezo ya kutosha ukiipenda mfanye biashara au uamue kuagiza.Bmw x3 wanaoijua wanipe maelekezo kdg nataka kuiagiza?
Cc ngapi??Toyota Alteza
Manual
7 gears
Bei: Milioni 8.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 919824View attachment 919825View attachment 919827View attachment 919829