Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Shadrack K. Lwila

Verified Member
Jul 17, 2016
4,458
2,000
Nyimbo nyingine za injili za kiafrica
Mathalani TANZANIA

●efrem sekeleti-uniongoze
*efrem sekeleti huyu ni soul singer kwakweli huwezi complain na wasanii wengine ambao wanafanya mziki wa injili,mtunzi mzuri na ana sauti nzuri sana.

Sample: uniongozee kwa huruma zakoo, usiponibaliki siwezi kwendaa, ninajua bila nguvu zako siwezi kwendaa ...

Ingia hapa uweze kupakua http://farmp3.com/mp3/ephraim-sekeleti-uniongoze

post using my macbook air using jamiiforums app
 

Shadrack K. Lwila

Verified Member
Jul 17, 2016
4,458
2,000
GOODLUCK GOZBERT

○ Msanii anayefanya vizuri katika safu ya muziki wa injili ana album yake nzuri kabisa ya IPO SIKU ndani ya album hiyo kuna nyimbo nyingi pia kama ACHA WAAMBIANE,SUPRISE,NIMESAMEHE,HAO HAO na nyingine nyingi sana zenye hamasa sana..

Pakua hapa mwimbo wa ipo siku..MyNotjustok - Download Track

Pakua hapa ACHA WAAMBIANE..MyNotjustok - Download Track

..... ....
Barikiwa saana..

post using my macbook air using jamiiforums app
 

Coolant

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
958
1,000
1. Heaven is in my heart wa Graham Kendrick
2. I believe in Jesus ~ sijui nani kaimba kwakweli ila ngoja nifanye utaratibu niuweke hapa
 

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,395
2,000
Hawa jamaa Krystals ni NOMAAAA hii ngoma Send Your Power waliipiga miaka kama miwili pale Upanga CCC bonge moja la ngoma vocal za maana vyombo wanajua kuvitwanga swafii glory glory!! watch it here uone jamaa wanavojua
Sent using Jamii Forums mobile app
 

lothrito_ole_mushi

JF-Expert Member
Oct 29, 2015
1,520
2,000
Sonnie Badu - My soul says yes

Dr Tumi - You are here

kuna yule dada aliyeimba "kimbilio langu, ni wewe peke yako. hili ni ombi langu mchana na usiku.

Baraka Massa - Nainua mikono yangu juu pamoja na unashangaza.

Jackson Benty
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom