Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,821
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
Abeg Abeg Abeg
Usiniulize Garden Love ndio nini!
Kama una kifua chenye nywele una garden love
Kama Unapenda Garden love nyoosha kidole juu
Kama haupendi garden love comment "Yaaaakh!"
Kama hauna uhakika kama unapenda au haupendi usicomment
Kaka etu kwenye video anayo!
Hehehehe wewe utakuwa umetuamulia sijui vibamia, udevu na love garden tumekukosea nini jamaniNi Sawa na kuogelea kwenye majani ya nyasi alafu useme umeogelea
Kiru!
Kipindi cha nyuma nilikuwa nimeweka avatar yangu na gadern love walinitukana mno mpaka nikaitoaHahahaha
Yajayo yanafurahisha Upo tayari?!
Nilisha ahilisha kusumbuliwa sisi wenye udevu huwa hatutaki kabisaU
Upo boss nenda urembo na nini sijui wameupeleka kule
Jukwaaa la kimbeya kimbeya huwa silipendi
Wapo wengi tu, ni wewe kufanya juhudi ya kuwatafutaAhahahah
Kumbe Wapo? !
Duh! Ila mbona profile photo majanga? ndio upo kazini?Sasa unapoelekea utaanza kuulizia wenye MANYOYA
Duh! mimi nina manyoya, vp nitapata nafasi?Hahahhaa
Mje huku Wapenzi wa 'garden love' nyoosha kidole juu
Naulizia kwa kuwa Leo umeamua kunichamba tu live kila unakogusa we negative tu na mm positive tuAlafu unaulizia kama nimetumwa
Woi!
Sipoi mpaka unipeIvo ee
Aya pole