mkuu build kali sana , umejitahd kwa kweli ila kama ni gaming pc kweli kweli ram 8gb haitatosha siku zinavozidi kwenda , plan ahead mkuu tafuta 8+8 =16 , humo fallout 4 kwa 8gb sidhani ,,afu boss monitor pia si ungebadil pia mkuu ,sema taratibu tuMonitor ninayotumia resolution max 1080 kwa hiyo hata card ingekuwawa ina push 1440 au 4k ni useless. Kuhusu case kupata case nzuri ni changamoto kidogo, ila kama ikipatikana nzuri ipo ndani ya bajeti yangu, i will take it.
Mkuu natumia hp2311x 23'' kwa kweli ipo vizuri tu sijaona mapungufu sana, na pia wamei customize ina Gaming mode ambapo uki switch ina balance color vizuri sana.mkuu build kali sana , umejitahd kwa kweli ila kama ni gaming pc kweli kweli ram 8gb haitatosha siku zinavozidi kwenda , plan ahead mkuu tafuta 8+8 =16 , humo fallout 4 kwa 8gb sidhani ,,afu boss monitor pia si ungebadil pia mkuu ,sema taratibu tu
ina G-sync?Mkuu natumia hp2311x 23'' kwa kweli ipo vizuri tu sijaona mapungufu sana, na pia wamei customize ina Gaming mode ambapo uki switch ina balance color vizuri sana.
Kuhusu Ram pia naweza ongeza baadae kwasababu hiyo mobo ina slot za kutosha.
View attachment 398771
View attachment 398772
mkuu nnahitahi kubadili processor kwenye PC yangu ila tatizo sifahamu jinsi ya kugundua kama processor IPO vipi compatible na mother board yangu.Hapana mkuu haina, hizo bei zake si za kitoto maana bado ni chache sana.
Nenda kwenye computer propertiesMk
mkuu nnahitahi kubadili processor kwenye PC yangu ila tatizo sifahamu jinsi ya kugundua kama processor IPO vipi compatible na mother board yangu.
Ukishafahamu processor yako ni rahisi kujua ni socket gani imetumika, ukishajua socket iliyotumika utafahamu list ya compatible processors kwa MOBO yako.Mk
mkuu nnahitahi kubadili processor kwenye PC yangu ila tatizo sifahamu jinsi ya kugundua kama processor IPO vipi compatible na mother board yangu.
mkuu nitakutafuta hivi vitu nilikuwa navipenda sana passion ikaanza kupotea narudi darasni nikiwa tayari nitaomba unipe darasa la component moja hadi nyingineKizuri share na wenzako
Haya mwenye pesa mashine safi kabisa hiyo, nimeona FB group kuna mdau anauza, ni mashine nzuri sana bei hiyo ni sawa na bure, optiplex 9020 inatumia haswell processor ambayo ni intel 4th generation very powerful, kwa bei 770k ni sawa na bure kwa mashine complete, mwenye pesa yake achangamkie fursa, hiyo mashine dukani zinauzwa 1.6m-1.8m,
hapo ni kufunga Graphics card tu na kuongeza RAM unakuwa na Gaming rig yako.
View attachment 431197