Societa Jesuit
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 200
- 5
Nijuavyo mimi kwa wakatoliki wanaruhusu ndoa za madhehebu mbalimbali (ndani ya ukristo) na hii haihitaji process ndefu ni suala la kumwona Paroko tu atakueleza. Vilevile wakatoliki wanaruhusu ndoa za dini mbalimbali (mkristo na siye mkristo) na anatoa ruhusa askofu wala process siyo ndefu. Ni suala la paroko kuongea na askofu tu. So bado mnaweza kuoana tu kihalali isipokuwa wenzetu kidogo wanapenda kushinikiza (kadili nilivyoexperience) anayetaka kumuoa anu kuolewa na nao abadili imani yake ya kidini.
Nakushauri sana kama mdogo wanu ubaki na imani yako, ninahakika ushapewa kipaimara na kuimarishwa. mshauri mwenzio akitaka kuolewa nawe basi abaki na imani yake na we yako, au kama atakubali kubadili basi abadili (kwa uamuzi wake). Zaidi ya yote mtangulize na mwogope Mungu daima kwa kila ulifanyalo!
Mie sikushauri ubadili dini..Lakini mwisho wa siku moyo wako ndio mwamuzi
naomba source ya hii information.
Si kweli mwanamke wa kiislam hana dini. Usitake mengine humu kisha mseme mambo ya udini. Kwanza sijaona ukristo unasema muoane. Hata Yesu hakuoa!
Mapadre hawaoi. Sijui mnaoana kumfuata nani?
Samahani! Usinijb kwa jazba humu tunaeleweshana.inawezekana umesema kwa kuwa hujui......
malizia hata paulo hakuoa ila alisema ikishindika na kila mtu awe na mwenza (kutokana na tamaa za mwili)from the bible.
Naamini hata paulo humjui...Katika kuoa YESU hajasema msioe kama mimi.
Paulo alielekeza kama mnaweza iweni kama mimi(Paulo)la kama hamuwezi oeni.
Rejea swahiba wa mtume Abuhureira(aka baba wa mapaka)hakuoa kama alivyo oa mtume wake Mohamad kwa akili zako atakuwa mpingaji(kafir)!
Naamini hata paulo humjui...
Labda nianzie hapo kwa muuaji paulo...paulo ni nani kwenye imani yako?
Ukafiri maana yake hujui...kutooa katika uislam si ukafiri. Inategemea huoi kwa sababu zipi? Labda useme hakuna kuooa katika uislam.Hapo utakua umeipinga hiyo ruhsa ya kuooa.
Usiwe hofu utapewa majibu na utaridhika kwa ushahidi.Hukuzaliwa unaujua uislamu bali kuna walimu wamekufundisha tena kwa bakora. hivyo basi umeambukizwa roho ya upofu hadi kwa mawazo yako una yakini kwamba kila aliyeua ana hatia kwa maana hakuna ghufiira.
Paulo ni mtume aliyetumwa na Bwana yesu sisi hatuna shaka wewe mwenye shaka tueleze kwa mujibu wa mwalimu wako kuna mitume wangapi, ambapo Prof Paul hayupo.
Kuhusu maamrisho ya kuoa umebaki kama mtoto analilia pipi, ulijenga swali kwamba Yesu hakuoa hivyo basi tunahalifu kwa kuoa. ndipo nikakupa mf wa abu hureira ambaye alikuwa swahaba kipenzi wa mtume wenu hadi akawa anamuita baba wa mapaka! kafa bila kuoa ina maana amempinga Mungu wenu na mtume?
Kuhusu tafsiri ya neno kafir mnakuza kama vile neno la ajabu basi soma kamusi ya kiswahili pia munjid kamus kwa faida yako.
Mwisho mtume wako alikuamrisha kwamba, "...kama unayo shaka na haya tuliyo kuteremshia waulize wasomao vitabu kabla yako."
Hukuzaliwa unaujua uislamu bali kuna walimu wamekufundisha tena kwa bakora. Paulo ni mtume aliyetumwa na Bwana yesu sisi hatuna shaka."[/QUOTE/]"
Leo nataka ujue yafauti yangu naww.
Paulo anasema hafai kuitwa mtume...soma 1wakor 15:9.
Mimi ni kijana mkatoliki mwenye miaka 24 nina soma chuo mwaka wa tatu,mpenzi wangu ni muislamu anaelimu ya kidato cha nne kwa sasa anaishi na wazazi wake, mausiano yetu ni takribani miaka 2, ktk mazungumzo yetu ananitaka nibadili dini,ila mimi sijalizungumzia hilo kwasababu wazazi wetu wote hatujawafahamisha ila tuna mpango.kubadili dini siwezi na mpenzi wangu siwezi kumuacha,nina pata utata sana, hata sijui nifanyeje ndg zangu?
Waipeleke jukwaa la imani!Ma'alim Jumar na Mgen, mada yenu kweli nzuri, lakini ninawaomba muende Mto wa Mbu, hapa tupeni nafasi tuchangie mada ya ndoa kama ilivyoletwa.
Usiwe hofu utapewa majibu na utaridhika kwa ushahidi.
Paulo umesema alitumwa na Yesu. Nae Yesu alikua nani?
Pia hujanijibu mnaoa kumfuata nani? Unaleta maneno ya ujanja tu.
Pia nmesomeshwa dini tafauti na unavyojua.
Binadam wote wanazaliwa ni waislam. Na ndio maana wakiristo wanabatizwa ili kuwa makafir.
Suala la kuoa nmekujibu. Na ukafiri pia.