Wapenzi wa CARTOON..

Sijamuona John Bravo...
Jamaa alikuwa na nguvu lakini kwa wanawake hana kitu.! Akimuona manzi utasika "ooohh Mama i think im in love with you"
[emoji23] [emoji23]

Jamaa alikuwa kama funguo juuu mkubwa chini mdogo,

Anapataga mazari na madem but anabolonga mwishon...

Mtoto wa mama kinoma yuleee
 
Ila nmeambiwa haya madudu (cartoons) sio mazuri kwa watoto,mwenye uelewa juu ya hili tafadhali
 
Powefpuff gilrs
The grim adventure of bill and Mandy
Samurai jack
Ed n edd
Wracky race..
Hatari sanaa
Profs alikuw genius kuwa tengeneza haoo,

Ongeza dexter na Didy
 
Sijamuona John Bravo...
Jamaa alikuwa na nguvu lakini kwa wanawake hana kitu.! Akimuona manzi utasika "ooohh Mama i think im in love with you"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…