Wapenzi wa Candy Crush Saga tukutane hapa

Kwanza hii gemu wakati ndio inaanza sikuielewa coz nilikuwa natumiwa sana fesbuku ila ilikuwa kama kirusi ilinipa shida sana mpk Leo naichukia
 
Kwanza hii gemu wakati ndio inaanza sikuielewa coz nilikuwa natumiwa sana fesbuku ila ilikuwa kama kirusi ilinipa shida sana mpk Leo naichukia
Pole sana mkuu... Ina utamu wake tena sana hasa ukiilewa
 
Ingia playstore kisha download then connect na fb yako
 
Hilo game niliachana nalo mana lilikuwa linanipotezea muda kichizi. Nilikuwa kama teja. Nashkuru nilifanikiwa kusema na moyo wangu nikali unstall
Mimi nimekuwa chid benz kwenye hii game....lol
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…