Wapenzi lakini hatujawahi kuonana

Ulishamwonaga asap?????? Au ulivutiwa sauti???

Asije kukufundisha kushika ukuta
 
Hata sula siijui simu yake haina wasap, pesa hapana sijawah mtumia labda vocha mala moja moja wandugu
 
hapo umedandanywa mkuu kwenye simu kila mtu atakwambia yupo dar kumbe yupo sumbawanga
 
Mlichonacho kinaitwa emotional affair. Wanawake wengi (nathubutu kusema decent, ambao wanalazimishwa na upweke kwa sababu ya wenza wao kuwa kama hawapo) wanafanya hivi. Anaogopa kukuona asije akaishia kungonoka na wewe. Anakutumia kama emotional mpnz. Usimhesabie kama mpenzio, unless na ww unataka emotional affair.
 
Utatongozaje sauti? Yawezekana ana age ya mamako au dadako mkubwa! Japo umri mara nyingine si kitu mbele ya penz, but kuonana uso kwa uso ndo mpango mzima wa kuanza mahusiano.
 
Huu ujinga huu. Unamwita ni mpenz wako wakat hujamsukuma kizazi? Kweli akili yako bloila
 

Kamata jembe ukalime huyo msanii wa bongo flavor mtoe kwenye list yako
 
Hawa viumbe ni hatari sana kwa mizinga....nathan umesha mtumia pesa si ndiyo mkuu?....mie nina kisa cha mrembo wa facebook na jina nitaliweka hadhalan na namba ya simu....ili liwe fundisho kwa wengine.
 
Teh teh teh teeeh! Mwenzio anapenda mapenzi ya hivyo hivyo ila msionane, nayo yana raha yake.
 
Huu ujinga huu. Unamwita ni mpenz wako wakat hujamsukuma kizazi? Kweli akili yako bloila

Khaaaaaaaaaaa.....
Mkuuu sasa kumsukuma kizaz si paka padri aseme
 
Mpotezee au mbayaa nakajipa sifa yy bonge la sista duu ila mpotezee atakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…