Duh huu umalaya mkubwa sana, yaani unakua malaya hadi unatongoza sauti ya mtu kwenye simu?? Kama hataki munane please please relax and move on, akikutafuta mwambie ushahama, kama ulikua na guts za kumtongoza huyo utapata mwingine tu sio lazima ubakie nae huyo