1. Kumkatia mawasiliano bila kujadili yaliyojiri sio suluhisho/sio sahihi, labda iwe ulikua unamtafutia sababu ya kuachana naeHeshima kwenu waungwana
1. Inapotokea umetofautiana kidogo na mpenzi wako na chanzo cha tatizo ni yeye je kumkatia mwasiliano ni njia sahihi ?
2. Na inapotokea mpenzi wako wa kike amekukera iwe kwa kauli au kwa vitendo huwa unatatua vipi changamoto hii ?
3. Mwisho wa yote ningependa kufahamu nani ambae anastahili kuvunja ukimya kati ya mwanamke na mwanume
Karibuni
wanaume wameumbwa kutokununa nuna
Dah...katika ulimwengu wa mapenzi...kama hakuna pesa na mgegedo...hakuna sababu ya kuendelea kuwepo... ukweli mchungu [emoji41]Heshima kwenu waungwana
Inapotokea umetofautiana kidogo na mpenzi wako na chanzo cha tatizo ni yeye je kumkatia mwasiliano ni njia sahihi ?
Na inapotokea mpenzi wako wa kike amekukera iwe kwa kauli au kwa vitendo huwa unatatua vipi changamoto hii ?
Mwisho wa yote ningependa kufahamu nani ambae anastahili kuvunja ukimya kati ya mwanam ke na mwanume
Karibuni
Maswali mengine bhana,Heshima kwenu waungwana
Inapotokea umetofautiana kidogo na mpenzi wako na chanzo cha tatizo ni yeye je kumkatia mwasiliano ni njia sahihi ?
Na inapotokea mpenzi wako wa kike amekukera iwe kwa kauli au kwa vitendo huwa unatatua vipi changamoto hii ?
Mwisho wa yote ningependa kufahamu nani ambae anastahili kuvunja ukimya kati ya mwanam ke na mwanume
Karibuni
Hapo kwenye kukubali na kutii kila akisemacho kuna ukakasi. Vingine ataitikia tuu kwa uoga. Ni kautumwa fulani hivi.....Sema hakuna namna wakati mwingine.wew fanya unalo jisikia ni sawa.
sisi hatujui kama ni mke au kimada tu.
NOTE; kwa wife material, lazima awe anakubali ukisemacho au ukimuelekeza kitu awe anakubali na kutii,
Umeongea jambo la msingi sana weekend hii.Dah...katika ulimwengu wa mapenzi...kama hakuna pesa na mgegedo...hakuna sababu ya kuendelea kuwepo... ukweli mchungu [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
tafuta mume, mwenye hekima na maarifa. utaona dunia tamu na utajiona mwenye bahati, mbali na hapo (wapolo)wauni ukiwazingua unakula na kipigo juuHapo kwenye kukubali na kutii kila akisemacho kuna ukakasi. Vingine ataitikia tuu kwa uoga. Ni kautumwa fulani hivi.....Sema hakuna namna wakati mwingine.
Mwanamke ni wa kushauriana naye sio kumtiisha. Anatambua nafasi ya mwanamume hata kama hajapewa amri kama ni mwanamke anayejitambua.Hapo kwenye kukubali na kutii kila akisemacho kuna ukakasi. Vingine ataitikia tuu kwa uoga. Ni kautumwa fulani hivi.....Sema hakuna namna wakati mwingine.