MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Aaaaah!nmekupta kiasiHaina lazima yoyote lakini ni kuchumu kwa asilimia 100 ni kuonesha upendo wako juu ya kitu fulani.
Kissing ni alama ya upendo,
C kawaida lknUnaogopa kupiga denda?!
Mkuu mambo hayana maana yoyote mm naona ni upuuzi tu wanafanya watu ili nao waonekane kama wazungu, mbona wazaz wetu na babu zetu hawakufanya mambo hayo na ndoa zao zimedumu mpaka wamezikana lakin siku hz maigizo kibao usaliti wa kutosha na ndoa hazidumuHi!to All.
Eti wadau kwanini kufanya mapenzi au kuchumu kati ya wapenzi wawili ndio huchuliwa kawa namna ya kuagana???
Kuna umuhimu gani kufanya hivyo???
"mapenzi upofu kweli!!!"
Babu zako na baba zako walivyokuwa wanaagana ww ulikuwa unakaa wap hadi ukawa unaona hawakisMkuu mambo hayana maana yoyote mm naona ni upuuzi tu wanafanya watu ili nao waonekane kama wazungu, mbona wazaz wetu na babu zetu hawakufanya mambo hayo na ndoa zao zimedumu mpaka wamezikana lakin siku hz maigizo kibao usaliti wa kutosha na ndoa hazidumu
ahahahaha hilo nalo nenoBabu zako na baba zako walivyokuwa wanaagana ww ulikuwa unakaa wap hadi ukawa unaona hawakis
Hi!to All.
Eti wadau kwanini kufanya mapenzi au kuchumu kati ya wapenzi wawili ndio huchuliwa kawa namna ya kuagana???
Kuna umuhimu gani kufanya hivyo???
"mapenzi upofu kweli!!!"
Mrembo Chuganian,vipi waweza kuniijia hapa Sanawari mida hii?ahahahaha hilo nalo neno
Muhimu ila sio lazimaNa ndio inavyotakiwa sio unamuaga mpenzi wako kama unamuaga mjomba wako!
kiss lazima ila sio muhimu
nakujaMrembo Chuganian,vipi waweza kuniijia hapa Sanawari mida hii?
Nini Nn mpendwaMaswali mengine khaaah!!!
Go figure.