Haipendez kabisa kushikana hovyo kwan ni kujdhalilishaaaawanawake na sisi tunajitakia mambo mengine jamani, sasa mambo gani haya kushikanashikana hadharani hivi? kama anakupenda hawez kukufanyia hivi! na kama zimewapanda si mpelekane hukoooo., kwani zilijengwa kwa sabab gani?? she**&nzi kabisaaa!!