wapeni walimu wapya posho zao mbona hivyo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wapeni walimu wapya posho zao mbona hivyo!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Asango, Mar 25, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna jambo ambalo linanishangaza kwa waalimu wapya walioajiriwa hususani halmashauri ya moshi mjini ambapo walimu wanazungushwa na fedha yao ya kujikimu,wanapewa wachache wanaambiwa wasiwaambie wengine,ninachojiuliza kw nini wapewe wengine na wengine wanyimwe na wanaopewe wanavigezo vip?walimu hawa wanateseka kiasi kwmb wengine imewabidi kurudi nyumbani kujipanga upya na kupata chochote toka kwa wazazi wao.jambo hili si la busara hata kidogo.mbona wafanyakaz wa kada nyingine walioajiliwa hatuyasikii haya?walimu ndo vibonde sio.namalizia kwa kusema kila mtesi atateseka.
   
Loading...