Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,066
Wapeni hela wake zenu wawasaidie kutunza. Kwanza utakuwa na uhakika wa usalama wa fedha zako, kwa sababu mke mwema huwa hatumii hela ovyo ovyo, pia utaimarisha uhai wa ndoa yako kwa kutunukiwa tendo mara kwa mara, na muda wote mkitazamana nyusoni zinakuwa na tabasamu.