Wazungu hawana maana kabisa! Katika hili tuungane kuwapinga kwa nguvu zetu zote. Nafahanu kuwa katika jamii yetu tayari tatizo la usagaji na ushoga lipo, lakini tusikubaliane nalo kama taifa ili ubaki kuwa ni uovu wa mtu binafsi atakayepata adhabu binafsi na siyo uovu wa kitaifa hivyo tutaepuka kuadhibiwa kama taifa mithili ya sodoma na gomora!