Wapendwa msaada

Wapendwa msaada

buchi

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Jamaa yangu kaja nimshauri lkn nimeshindwa naomba msaada wenu Tatizo lenyewe nikwamba jamaa anapokuwa na demu anakuwa na mzuka sana wa kugonga na akigonga kagoli kamoja tu mashine inalala kuamka hadi saa nzima hivyo demu wake anamsema sana kwamba goli 1 tu halitoshi. Je, jamaa afanyeje ili awe anagonga hata matatu? na afanyeje ili mashine iwe active muda wote? msaada jamani
 
Ajiandae vizuri kabla ya mechi !!! Mambo kama msosi wa nguvu ugali wa kutosha!! Supu ya pweza pamoja na pilipili !!! Mambo ya karanga
Awe mtu wa mazoezi maana hako kakitambi kanakurostisha.....
Afu huyo mwanamke anamfanya asijiamini maana zikianza lawama hamu zinaisha zote...aongee vizuri na mpenzi wake ampe sapoti akishapga kimoja apumzike kunywa hata maji anzeni kuvutwa vutwa hzo ball mwanamke naye anatakiwa awe mjanja amtekenye tekenye azitafute zilipo atambae na sehem za mizuka mambo ya suez canal yakiguswa lazma ubane misuli.....mixer maujanja ujanja ....
Mkikutana wote mazezeta ndio madhara yake...

afu kwa nini usiseme wewe tu mkuu...
 
mie na mlau demu kwann asitumie ujanja ili jamaa achangamke
 
Back
Top Bottom