Stress nazo.....ukiwaza pesa ham inapoteaMe nafanya mapenzi na mwanamke sio pesa!
Ukiona hivyo unakaribia kuwa ***** wanaume tunat*mba Kila cku na hatuchoki acha unusu ushoga.Poleni ma majukum
Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa
Kabla ya kufanya tendo ninakua nina hamu kabisa ya kufanya lakini wakati wa tendo lenyewe sisikii raha yoyoye ile,
Nipeni ujuzi wenu nitumie vyakula gani hasa au nifanyeje ili kupata raha ya tendo la ndoa?
Je, hili poa laweza kuwa tatizo kubwa?
Jinsia yangu ni ME
Huyo mwanamke amekukera nini? Amebadilika? Kanenepa au kukonda zaidi? Labda hakuvutii tena. TafakariMume
Kwani wewe ni nani bro?Uninga tena?
Unanijua mimi ni nani?
Utakuwa unanyemelewa na mabadiliko ya kuwa kePoleni ma majukum
Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa
Kabla ya kufanya tendo ninakua nina hamu kabisa ya kufanya lakini wakati wa tendo lenyewe sisikii raha yoyoye ile,
Nipeni ujuzi wenu nitumie vyakula gani hasa au nifanyeje ili kupata raha ya tendo la ndoa?
Je, hili poa laweza kuwa tatizo kubwa?
Jinsia yangu ni ME
Sio kila kitu...Ila inamchango mkubwa sana.!Pesa ni kila kitu kwenye furaha?
Elewa tuu kwamba UMASIKINI NI MBAYA SANA UNAWEZA KUSABABISHA MENGI....Tutafute pesa..!Nieleweshe tafadhali