Wapendanao....

Kauli ya busara hiyo.....ila naamini inaruhusu kuwaamulia maana wengine hutabeba jembe ila utafunga turubai kuhamia msiba. Au wasemaje Nyani Ngabu
 
so tusiamue ugomvi wao, tuwaache tu wauane/waumizane?
 
Waja husema eti wagombanao ndo wapatanao....



Pia wanasema marafiki au urafiki ulia imara ni ule uliopitia kwenye ugomvi

Pia hudai hata dereva ili awe mzuri ni lazima apate ka ajali ndipo anakomaa!!!
 
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…