Wapenda vitabu pitia hapa

Wapenda vitabu pitia hapa

Sina ulichokiomba mtoa mada lkn kwa wapenzi, hivi vitawasaidia kama hujavisoma.,
Kama kusoma vitabu hakuko kwenye damu utaishia kudownload tu.,, Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria....!!
Komaeni navyo ivyo kwanza sababu najua kuvimaliza tu hivi mtihani...! Mkihitaji vingine ntawatumia hata 1000...!!!
 
Attachments

Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Ingia jamii forums kupitia browser kama chrome, Firefox au opera hapo utaweza Ku upload vitabu hapa.
 
Sina ulichokiomba mtoa mada lkn kwa wapenzi, hivi vitawasaidia kama hujavisoma.,
Kama kusoma vitabu hakuko kwenye damu utaishia kudownload tu.,, Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria....!!
Komaeni navyo ivyo kwanza sababu najua kuvimaliza tu hivi mtihani...! Mkihitaji vingine ntawatumia hata 1000...!!!

Mkuu ubarikiwe! !!!
 
Asante sana, tushirikishane maarifa
 
Wakuu naomba msaada wa vitabu hivi hapa....

1.How to win friend and influence people by DALE CARNEGIE.
2.Rich Dad poor Dad by ROBERT KIYOSAKI.
3.Cash flow quadrant by ROBERT KIYOSAKI
4.The slight edge by JEFF OLSON.
5.Mastery by ROBERT GREEN
6.Antifragile by NASSIM TALEB
7.Predictably irrational by DAN ARIELY
8.Start with why by SIMON SINEK
9.The 4 hour workweek/Escape 9-5.by TIM FERRISS
10. Outliers by MALCOLM GRADWEL.
11.The 48 law of power by ROBERT GREEN
12.The obstacle is the way by RYAN HOLIDAY.
 
Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Naomba nikufuate PM ili nione namna ya kunisaidia nami nikasaidie wengine
 
Habari zenu wanajamvi.
Mimi in mkereketwa wa kusoma vitabu, lakini ninapata shida kuvipata online, ninatamani wapenda vitabu wenzangu tushirikishane links za vitabu.

Kwa sasahivi ninatafuta kitabu cha the family cha Mario puzo ningeomba kwa alienacho atushirikishe.

Pia kama una novel yoyote nzuri unaweza kutupia hapa ili tushirikiane, )James hardley chase, Frederick Forsythe nk.)
Pia vitabu vya kukuza uelewa na biashara nk. Mfano napoleon hill nk.

Natanguliza shukrani
ELIMU HAINA MWISHO
 
Timor unapatikana wapi ili tusaidiane vitabu hivyo......
[HASHTAG]#BookWorm[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BookMania[/HASHTAG]
 
Sina ulichokiomba mtoa mada lkn kwa wapenzi, hivi vitawasaidia kama hujavisoma.,
Kama kusoma vitabu hakuko kwenye damu utaishia kudownload tu.,, Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria....!!
Komaeni navyo ivyo kwanza sababu najua kuvimaliza tu hivi mtihani...! Mkihitaji vingine ntawatumia hata 1000...!!!
Safi Mkuu God Bless You

@m G00d Br0ther
 
Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Sorry Unaweza Ku Send Hyo Pdf Yenye Vitabu Vyote Via Email Yangu Plz , ,
 
Mimi nina Library kubwa sana ya vitabu mbali mbali viko kwenye PDF format namna ya ku upload hapa ndo sijui.Nina zaidi ya vitabu 6000 kuanzia riwaya , philosophy, business, educational nk.Njoo unijuze ni upload vyote vyote wapendwa wajipakulie kwa tani zao.
Natafuta kitabu kinachoitwa unyoya wa kipanga Aziz mwaka WA tatu huu. Msaada.
 
Back
Top Bottom