Wapenda Spirits Tukutane Hapa

Wapenda Spirits Tukutane Hapa

nipeni bei ya belaire kwa mlioinywa vp tamu ama
ila ciroc ni habari nyingine aiseeeee
 
Konyagi bottle boys never stop. Hakika ni spirit bora kabisa kuwahi kutengenezwa duniani na inapatikana mashariki mwa afrika kwenye nchi ambayo vyuma vimekua ni tatizo kubwa.

Konyagi ni spirit au Gin
 
Wine bana kuna presidential wine ya dodoma winery its taste good
 
Pombe unakunywa unakunja sura....! Sipendiii....labda kama nina stress nataka nilewe haraka nikalale....

Yaani vyuma vikaze na sura niikaze wakati nastarehe!!?

Kula Serengeti lite Mzee 1500 ulalage....ukizingatia na hali ya vyuma miaka hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watu mmevurugwa. Umenifanya nicheke mpaka mbavu zinauma
 
Kipindi niko na shida mingi nilikuwa nakunywa Valuer ila baada ya hizo shida kuisha nimeacha...
 
Back
Top Bottom