Kuna nyimbo ya madilu na Franco hiyo nyimbo ni non stop yaani imeunganishwa na wameziunganisha na nyimbo za zamani ila kwa mtindo ya midundo ya sasa ya haraka haraka na sio rumba kama walivyozoea,solo limetawala sana humo,anaeijua anipe jina...kaunganisha pesa position na imeimbwa mstali tu na ikaendelea.
Kuna kipande anaimba.
Ekama ***** tobota ya banae,pasi ya balalangai yakosibote,pazia balalangai yakobonita,yakobonga kombo nabase konabanae eloko nakote talangasenamibeto...nimejaribu kunukuu.