roja24
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 634
- 406
Habari, wanajamvi/wapwa.
Leo Nimekuja na mada Kama inavojieleza, Mie Ni mmoja wa wanaopenda kujisomea vitabu na movie pia.
Ila KWA Sasa naomba tujuzane VITABU /NOVELS Kali Kali na zenye kusisimua ambazo hazichoshi na unaeza kaa kwenye Mwendokasi Mpaka unafika kimara hujaangalia nje dirishani.
Mie naanza na A TIME TO KILL- GRAHAM, na THE PERICAN BRIEF.
Tafadhali zipi nyingine nikizitafuta zitojutia hela na muda wangu.
Asanteni