William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
-
- #21
William,
..kwanza inaelekea alilazimishwa kujiuzulu.
..kumbuka mwanzo aligoma, na hata waziri Mwakyembe alimtetea wakati walipokuwa na joint press conference.
..jambo lingine uelewe kwamba waziri huyu amejiuzulu kutokana na uzembe ktk wizara yake ambao umesababisha mamia ya wananchi kupoteza maisha yao.
..wanaopaswa kupongezwa kwa kujiuzulu ni wale wanaofanya hivyo kwa kupinga ufisadi na uzembe ktk maeneo wanayoyasimia.
..kwa mtizamo wangu huyu waziri alipaswa kutimuliwa. hata ile kupewa nafasi ya kujiuzulu naona amefanyiwa hisani tu.
le mutuz , ndoto zako za kutafuna wema sepetu zimezaa matunda?
- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?
- I mean responsibility ndio quality number one kwenye reforms, sasa leo ametokea kiongozi aliyefanya the impossible hakuna praise, sio kwa wanaharakati tu hata kwenye media hakuna, hakuna a word of courage toka kwa vyama vya upinzani, wala hata media coverage haikugusa sana the topic, that is very sad!
- Ninapenda kumpa salute Mheshimiwa Waziri kwa kitendo chake hicho cha kishujaa sana, kinatakiwa kuweka msingi wa uwajibikaji wa Viongozi wa juu katika taifa leu, ambao unaonekana kutokuwepo na kuwapa nafasi baadhi ya viongozi wetu kujifanyia tu wanavyotaka na siku zote kuishia kumpa taabu sana Rais wa Jamhuri kuvunja baraza zima la mawaziri, badala ya waziri mmoja aliyeharibu kujitoa mwenyewe kama huyu Shujaa aivyofanya!!
OUR MEDIA, WANAHARAKATI, NA WAPENDA MABADIIKO KWENYE HII MMEHARIBU SANA TUMPE WAZIRI HESHIMA YA AINA YAKE KUSUDI UWE MFANO KWA WENGINE!!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!
WILIAM.
Baba yako wakati akiwa waziri mkuu Aliachia ngazi?
Wengine hatujaridhika na kujiuzulu tu, ndio maana hatupongezi.
Tulitaka maelezo ya kina na uchunguzi wa kisheria kuona kama kuna uzembe, na kama upo, mashtaka na kifungo.
Unaongelea responsibility? Hiyo ndiyo responsibility.
Kujiuzulu mtu aondoke Scott free huwezi kuita responsibility.
William, waziri aliyeachia ngazi anatoka CUF, better late than never, watu walipiga kelele sana wakati wa ajali ya Spixe Islanders lakini hakuachiwa ngazi. Vifo north of 1200 bado akaukashusha then haya ya week iliyopita. As I said, better late than never, lakini alitakiwa kufanya hivyo kitambo.
Hapo kwenye red, wameishiwa nguvu, Mbagala, Gongo la Mboto, Spice Islander, again, mabasi ya mikoani hii imekuwa kama la kawaida!!!. Hii nchi kuna mambo ya kusikitisha, gari la rais linazimika kwa sababu ya mafuta yaliyochakuliwa (rais akiwa ndani ya gari) lakini hakuna mtu amewajibishwa!
- cha muhimu ni amejiuzulu na kuweka msingi flani wa kuigwa mbee ya safari for that anahitaji kuwa shujaa, kumbuka angeweza kugoma na asingefanywa anything!!
Willy!
Mkuu,,lkn huyu kajiuzulu kwa sababu ya inefficient,kushindwa kwake kusimamia vema nk. Ndiyo tumpongeze kwa uzembe/incopentence yake? Haiwezekani Willy! Haiwezekani kabisa will bana, acha masikhara kaka! watu wazembe wazembe tu? C bora hata Magufuli wakati ule wa bomoa bomoa waliovamia hifadhi ya barabara labda angejiuzulu pale aliposimamishwa na JK&Pinda@Liwalo na liwe angeonekana shujaaa?
Kama unataka kuwa mwanasiasa mzuri, soma sana, tena sana. Soma angalau kitabu kimoja cha philosophy kwa wiki.- Sawa lakini bado anastahili heshima kwa kitendo chake cha kujiuzulu!!
Willie!!
Kama unataka kuwa mwanasiasa mzuri, soma sana, tena sana. Soma angalau kitabu kimoja cha philosophy kwa wiki.
Kwa sababu hoja zako ni za kitoto mno.
Kujiuzulu ni jambo la aibu. Failure in a gentleman's way (only if you were not forced to).
Na kama unasifia failures, then....
That's not political maturity but simply an agreement, on the record, that you failed.- Mzee wa hoja za kikubwa vipi kuja kujibu hoja za kitoto, mzee wa kusoma vitabu vya philosophy kimoja kila wiki, vipi tena kuja kupoteza phiosophy zako na asiyekua nazo? ha! ha! ha! ha! ha! yaani so childish and foolish nasikia hata kutapika kusoma this nonsense!!
- Kujiuzulu ni jambo la aibu? REALLY? ndio phiosophy unazotaka na mimi niwe nazo? ha1 ha! ha! when the gentleman,s admitt his failure to the public and relinguish his position of power you call that a shame? then shame on you!!
- I call that a political maturity that needs to be followed by others in power!!
RESPECT!!
LE MUTUZ!!!
That's not political maturity but simply an agreement, on the record, that you failed.
Unavyoandika humu ni vitu ambavyo ni superficial, hujaangalia circumstances zilizomfanya ajiuzulu especially baada ya yeye kusema hatajiuzulu.
Kama angekuwa ni kocha wa timu ambaye amejiuzulu baada ya timu yake kukosa ubingwa (lakini ilicheza vizuri na kuingia fainali), unaweza kumsifia kwa sababu mtu kama huyo hakuwa tayari ku-setlle for less than championship.
Au angejiuzulu kwa sababu meli imefika salama bandarini lakini ilizidisha uwezo wake wa kubeba abiria, na abiria waliokuwepo ndani ya meli hawakuwepo kwenye register kutokana na usimamizi mbovu, then tungeweza kumpa a pat on his back.
Hii resignation haina haja ya kusifiwa .... jipange upya kama ulitaka kutuonyesha kuwa wewe ni makini.
Kwanza kabisa amelazimishwa.- Labda ujipange upya na kujifunza mazingara aliyojiuzulu ni ya bongo sio ughaibuni, ukijua hilo then utaheshimu uamuzi wake wa kujiuzulu cause tumejionea madudu ya ajabu hapa bongo na wahusika hawajajiuzulu mpaka leo!!
Willie!!
Kwanza kabisa amelazimishwa.
Pili, ughaibuni au bongo standards ni zilezile. Ndiyo maana nikakwambia kama kweli unataka kuwa mwanasiasa, jitahidi kusoma. Na hiyo haimaanishi mimi ni mtu anayesoma sana, ila watu wanaosoma utawajua tu, huwa wana points za maana na siyo za kupoteza muda.
Sorry brah, ila unajiexpose too much !!! ... tuliza boli kwanza.