Wapenda kandanda live

m2n

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
411
Reaction score
63
Najua unapenda football hasa za ulaya, unajua kuwa unaweza kuona super sport za dstv buree? Pia wajua kuwa aljazeera sport nayo pia yapatikana buree? Na wajua canal sport pia yapatikana buree? Kama hujui basii usijiulize nipo na ntafanya uone ligi zote kubwa duniani buree pasipo malipo. Tuwasiliane kwa maelezo zaidi
 

Mawasiliano yako??
 
Acha kutafuta umaarufu usio na msingi, kama unajua unaweza toa maelezo yanayojitosheleza sio kuwasumbua watu kuwasiliana na wewe kama wamekuomba vile.
 
Acha kutafuta umaarufu usio na msingi, kama unajua unaweza toa maelezo yanayojitosheleza sio kuwasumbua watu kuwasiliana na wewe kama wamekuomba vile.

Kuna hela watu watadaiwa, we subiri tu!
 
Kumbe huna jipya m2n unataka kujipatia umaarufu
 
Kama uko siriazi nitafute uone kama nasema ukweli au ni magumashi
 
Ushawahi sikia kitu kinaitwa dongle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…