wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 986
Ni kweli kabisa. Hapa ni swala la watu kuomba MUNGU huyu shetani apishe mbali.hatimae sintofahamu ya burundi yainyemelea tanganyika
Wana JF, napenda kuwajuza yanayotokea kisiwani Pemba ni kwamb Wafanyakazi wote wa serikali ya SMZ wamelazimishwa kuwasilisha vitambolisho vyao vya kupigia kura kwa wakuu wao wa kazi ili nambari za vitabulisho hivyo zisajiliwe.
.
Kufumbatia maji Kama jiwe ni ujinga. Sote ni ndugu, watoto wa baba mmoja.. Yanini kugombea fito?? Kwanini watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani?? Kuna nini huko ikulu?? Nyerere alisema hata huwezi kusema uweke sturi uuze karanga,, au Ikulu sikuhizi ni tofauti na enzi hizo???Ni kweli kabisa. Hapa ni swala la watu kuomba MUNGU huyu shetani apishe mbali.
Hii tabia ya nchi za Afrika ya chama kimoja cha siasa kuwa na uwezo na nguvu za kuzuia chama kingine kisiingie madarakani lazima italingamiza bara la Afrika
MLETA MAADA MUONGO HAKUNA KITU KAMA HICHO
MLETA MAADA MUONGO HAKUNA KITU KAMA HICHO
Mumezoea kukanusha siku zote kama mnavyokanusha kwa mazombie, watu wanavaa jezi zenu na kutumia magari yenu kupiga raia bado mnakanushaMLETA MAADA MUONGO HAKUNA KITU KAMA HICHO
Bwana mdogo huelewi unachoongea.hatimae sintofahamu ya burundi yainyemelea tanganyika
Watu kama nyinyi wenye akili ndogo ndio mnao sababisha watanzania kuwa masikini,hivi unajua maana ya serekali na chama?Serikali kushawishi watumishi wake kupiga kura si dhambi kama ilivyo si dhambi CUF kushawishi wafuasi wake kutopiga kura.
mkuu umefananisha vitu viwili TOFAUTI, Unafananisha Wafuasi(vyama) na watumishi(serikali).ungekuwa sahihi kama ungesema "CCM kushawishi wafuasi wake kupiga kura si dhambi kama ilivyo si dhambi kwa CUF kushawishi wafuasi wake kutopiga kura". variables ulizotumia hazina correlation kabisa na kama ungepima null hypothesis yako basi nina hakika ingekataa.Serikali kushawishi watumishi wake kupiga kura si dhambi kama ilivyo si dhambi CUF kushawishi wafuasi wake kutopiga kura.
mkuu umefananisha vitu viwili TOFAUTI, Unafananisha Wafuasi(vyama) na watumishi(serikali).ungekuwa sahihi kama ungesema "CCM kushawishi wafuasi wake kupiga kura si dhambi kama ilivyo si dhambi kwa CUF kushawishi wafuasi wake kutopiga kura". variables ulizotumia hazina correlation kabisa na kama ungepima null hypothesis yako basi nina hakika ingekataa.