MWALIM WA KIJIJINI
Member
- Aug 22, 2013
- 66
- 66
Kah! Neno zito sana hilo ... Usifurahie shida za mwenzako tambua ya kwamba hujafa hujaumbika.. Kila la kheriHao wawili wanacommon character yakutafuta watoto bila mafanikio!
Adui muombee matatizo.Kah! Neno zito sana hilo ... Usifurahie shida za mwenzako tambua ya kwamba hujafa hujaumbika.. Kila la kheri
Mkuu wapi nimeonesha kufurahia shida zao? au kueleza ukweli unahisi ni kufurahia? Pole najua umeumia labda na ww ni mhanga wa jambo hilo!Kah! Neno zito sana hilo ... Usifurahie shida za mwenzako tambua ya kwamba hujafa hujaumbika.. Kila la kheri
Nape tena?Kikubwa mdogo wngu nape anatakiwa kujifunza kuishi na watu ajitaidi pia kusoma historia ya nchi yetu na Siasa zetu...
Turudi nyuma kidogo kwenye sauti za steve nyerere na mama wema Turudi tna vita yke nape na mzalendo namba mbili Tanzania ndugu bashite labda utaweza kunielewa kidogo...N
Nape tena?