Picha ya pili ni ya mtu mpenda madaraka, alitaka kuwa pm, baada ya kutoswa uspika 2010 akataka agombee kupitia chadema ila akabadili msimamo baada ya kuanbiwa atakuwa waziri. Akaongoza bunge le la katiba alivyotaka ili kutengeneza jina lake ambapo wajumbe hadi waliokuwa safarini walipiga kura. Akagombea uspika akasema akikatwa ni mahakamani tu