wapanda baskeli uchi

Mbona hawajali hata watoto waliopo hapo? Wanawarithisha nini sasa?
 
Eeeh,uwe na ndogo au kubwa yote majaliwa!!Kuna wakati hawa watu wana michezo ya ajabu sana!!Kuna wakati pia kuna watu walikutana mahali uchi zaidi ya watu elfu tano,wake kwa waume.Utakuta wameoa na wengine kuolewa hapo.Muhimu Tuwaombee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…