mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 222 May 23, 2023 #1 Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini enline_g✅
Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini enline_g✅
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 May 23, 2023 #2 Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.
Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar.
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 May 23, 2023 #3 Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini
mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 222 May 24, 2023 Thread starter #4 Dr Matola PhD said: Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar. Click to expand... haaaa kweli sio makondee tyu mwangalie sadalaaaa naye alisema atarejea lakin wapi
Dr Matola PhD said: Subiri update kwanza tukutane na mishangingi ya mjini ndio tutajuwa unajuwa ulichofuata mjini. Muone mmakonde konde boy baada ya kukutana na mishangingi ya Dar. Click to expand... haaaa kweli sio makondee tyu mwangalie sadalaaaa naye alisema atarejea lakin wapi
mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 222 May 24, 2023 Thread starter #5 Ivan Stepanov said: Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini Click to expand... umakini unahitajika sanaa
Ivan Stepanov said: Kukata tamaa ni jambo jepesi sana usipokuwa makini Click to expand... umakini unahitajika sanaa
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 May 24, 2023 #6 mr_stev001 said: umakini unahitajika sanaa Click to expand... Sanaa