Wapambanaji tukutane hapa


Bado huyajui maisha ww
 
Hakuna mganga humu duniani mganga ni wewe mwenyewe, kumbuka unavyotenda kila sekunde ni akiba yako siku za usoni,mafanikio ya fedha kazi familia afya na roho yako katika utendaji wako wa kila siku, hivyo chunguza jinsi unavyotenda kila wakati na ujiulize kama ni sawa sawa na sheria za Muumbaji. Ikiwa unatenda mazuri basi utavuna, vile vile ikiwa unatenda shirikina juwa utavuna ukichopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…