Wapalestina wote kuondoshwa Israel

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,655
11,653
Lieberman: All Palestinians should leave Israel. Sun Feb 12, 2017 6:31AM
b0a953e1-2823-4219-aa81-bcb053c43803.jpg


Waziri Mashuhuri Nchini Israel Bwana Lieberman Amesema Wapalestina wote waishio kwenye Majiji na Miji iliyo chini ya utawala wa Israel waondoshwe na kwenda upande unaoongozwa na Abu Mazen jina la Maarufu la Raisi wa Palestina Bwana Mahmoud Abbas.

Nawabarikini: Nyie ni Wapalestina mtanatakiwa muende kwa Abu Mazen. Nyie ni raia wa utawala wa Palestina, Awalipeni mafao ya kutokuwa na ajira, Mafao ya afya,mafao ya kinamama ya uzazi,Mafao ya kula pozi kitaa,alisema huku akimuita na jina lake la AKA.

Hapo nyuma mwaka 2014,Bwana Lieberman alishawahi sikika akiwapa ofa wapalestina watakao kubali kuondoka angewasaidia kiuchumi wa kuwawezesha kuhama.

Hata hivyo serikali ya Israel haikuwa na mpango wowote wa kuwahakikishia wapalestina ambao wangekubali mpango huo kuwawezesha kiuchumi. Serikali ya Tel Aviv inampango wa kuvunja makubaliano ya mwaka 1967 na kuchukua sehemu za West Bank(Mji wa Mfalme Daudi) na Jerusalem Mashariki.

Mambo yanaenda bara bara.

Israel’s firebrand minister for military affairs Avigdor Lieberman has said that all Palestinians should leave the entity and live in the territories administered by the Palestinian Authority.


Speaking to Israel’s Channel 2 on Saturday, Lieberman said the Palestinians living in Israeli cities and towns should be made to go and live in the occupied West Bank under the authority of President Mahmoud Abbas.

“With my blessing: You are Palestinians, you should go to Abu Mazen. You’ll be citizens of the Palestinian Authority. He’ll pay you unemployment benefits, health benefits, maternity benefits, hanging around benefits,” he said derogatorily, using a nickname for Abbas.

Back in 2014, Lieberman struck a similar tone by saying that Israel had to offer Palestinians “economic incentives” to enable such departures.

Israeli leaders, however, have not offered any guarantees that even if the Palestinians were to take the proposals, Tel Aviv would terminate its 1967 occupation of the West Bank and East Jerusalem al-Quds.

Instead, they have frequently talked of Israeli plans to annex the West Bank. Earlier this month, Israeli education minister Naftali Bennett said the ongoing evacuation of the Amona settlement was a prelude to the annexation.

Israel has been dotting the territories with settlements, defying the international law amid the support of the United States, which has been using its veto power at the UN Security Council in favor of Tel Aviv.

On Thursday, a settler group said the number of Israeli settlers in the occupied West Bank has risen by 3.9 percent since 2015, twice the growth rate of the Israeli population.

The Yesha Council said the number of Israeli settlers living in the territories surged beyond 421,000 in 2016. The figure does not include over 200,000 other Israeli settlers living in East Jerusalem al-Quds.

Lieberman said Tel Aviv had to consult Washington before choosing to assert “permanent control” over the West Bank. He urged Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to work for “an agreement” with US President Donald Trump on “the question of Israeli sovereignty" over the West Bank.

Observers say such an “agreement” would ensure Washington’s continued blocking of anti-Tel Aviv resolutions at the UN Security Council.

Both on his campaign trail and after inauguration in January, Trump has been indicating that his administration would be throwing much more weight than its predecessors behind the Israeli regime.


Netanyahu is to meet with Trump on Wednesday in Washington. The Israeli leader has already stated variously that he would be seeking to take advantage of Trump’s pro-Israeli leaning.

Lieberman said Iran should top the agenda of Netanyahu’s talks with Trump. “The greatest threat to Israel is Iran, Iran and Iran,” he said, reiterating Tel Aviv’s rhetoric against the Islamic Republic.

The Israeli premier himself has asserted that he would be lobbying Trump for measures to contain Iran.
 
Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amewataka Wapalestina wote waondoke mara moja katika ardhi zao zilizoghusubiwa na utawala huo bandia.
Akiongea hapo jana katika Kanali ya 2 ya Israel, Avigdor Lieberman alisema Wapestina wanaoishi katika eti miji ya Israel wanafaa kufurushwa na walazimishwe kwenda Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wakaishi chini ya uongozi wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
Akitumia maneno makali na ya kejeli, Liberman ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel amesema: "Nyinyi ni Wapalestina, mnapaswa kwenda kwa Abu Mazen (Mahmoud Abbas), atakulipeni marupurupu ya kutofanya kazi na ashughulikie masuala yenu ya afya na matibabu yenu."
Ameongeza kuwa, utawala huo ghasibu unashauriana na Marekani kuhusu mpango wa 'kuudhibiti kikamilifu' Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Lieberman amekuwa akitoa matamshi makali na ya chuki dhidi ya Wapalestina mara kwa mara. Febuari mwaka jana, alitoa wito kwa jeshi la utawala huo bandia kuhakikisha kwamba linamuua Ismail Haniya, afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).
Hii ni katika hali ambayo, siku chache zilizopita, licha ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kuutaka utawala huo bandia usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu, kwa kiburi kamati ya ujenzi wa vitongoji ya utawala wa Kizayuni wa Israel ilipitisha uamuzi wa kujengwa nyumba nyingine mpya 181 katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu.
my take: Huyu liberman anazeeka vibaya ana matamko ya mihemko sana kuna siku aliwahi kutaka wapalestina wote wauawe kuna siku aliwahi kusema waafrika wote walioingia israel wachomwe moto
 
Mbona kama unachuki sana na israel rafiki
Utawala wa kizayuni
Utawala wa gasibu
Utawala bandia ndo utawala gan huo kaka

Afu kama unawahurumia sana hao waparestina kwanini msiungane waisilamu dunia nzima mkawaisidie kuupinga huo utawala bandia
 
Waisilamu awamu hii lazima tuungane tukawashughulikie hawa wayazuni

Takbir
Hujui uzungumzalo wapelestina wanahusiana nini na uislam?kwanini wasisaidiwe na ndugu zao ambao Wanaishi ndani ya Israel wapo zaidi ya 20% Waisrael/waraabu(wapelestina)?
 
They fought against Imperialism
They fought against neo colonialism
They fought against Barbaric
they promoted Humanity

The Late Fidelito,Mandela,Chavez and Evo Morales













 
Hujui uzungumzalo wapelestina wanahusiana nini na uislam?kwanini wasisaidiwe na ndugu zao ambao Wanaishi ndani ya Israel wapo zaidi ya 20% Waisrael/waraabu(wapelestina)?
Kwani sisi waisilamu hatufai kuwasaidia waisilamu wenzetu
 
Back
Top Bottom