Wapalestina washerehekea ushindi

Wapalestina washerehekea ushindi

Status
Not open for further replies.
Mashabiki wa Palestine ni vilaza na hawajui hatA wanachokiongea

Kilaza ni wewe unaye shabikia 'Harusi ya Mbwa' !.............hujui haki ni ipi na batili ni ipi !? Nazjaz
 
Last edited by a moderator:
Vichaa wanasherehekea Ushindi baada ya kipigo na vichaa wengine wanawasaidia kusherehekea Ushindi hewa.
WAPELESTINA WASHEREHEKEA USHINDI:

Wapalestina wamesherehekea ushindi waloupata dhidi ya Mayahudi,katika vita iliyo endelea kwa muda wa siku 50.

Inazingatiwa ya kuwa wameshinda kwa sababu zifuatazo:
1-Kile Mayahudi walichokuwa wanakitaka hawajafanikiwa,ikiwa ni pamoja na kuwanyang'anya Wapelistina silaha ambazo kwa sasa wanazitengeneza.
2-Israeli wanadai kuwa jeshi lake ndio jeshi bora Mashariki ya kati lakini wamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya Palestina na si kwa masharti yao.
3- Kwa mara ya kwanza Palestina wanauwa idadi kubwa ya wanajeshi wa israili ukilinganisha na vita vya nyuma walipokuwa wakitumia mawe tuu kujibu mashambulzi.
4-Uchumi wa Israili umeyumba kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na vita vya mwanzo walipokuwa wakiwauwa kwa silaha nzito,huku wapalestina wakitumia mawe tu.
5-kubwa ya yote Mayahudi wamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya Palestina"kama"kumaliza mzingiro huko Gaza,kufunguliwa mipaka,kuimarishwa Gaza nk.ama wao walichokipata ni kuuwa watoto,wanawake,na wote wasiohusika pamoja na kuvunja majumba hovyo.
 
Eti naye huyu anajidai ni mfuasi wa ALLAH
Si boro huyo mfuasi wa Allah kuliko mfuasi anaye sema Mungu wao alifia msalabani, afu hapo hapo wanasema amelaniwa aliye fia msalabani, sa kama Mungu wao kafia msalabani ana lana wao watakuwa vipi sindio wana lana kubwa hao. Naweka Bibilia ujionee mwenyewe usiseme naizulia. Yeyote anayetundikwa mtini amelaaniwa na Mungu (Kumbukumbu la Sheria 21: 22-23). Amelaaniwa anayetundikwa kwenye mti (Wagalatia 3: 13).
 
Vichaa wanasherehekea Ushindi baada ya kipigo na vichaa wengine wanawasaidia kusherehekea Ushindi hewa.
Hebu wasikie vichaa wanasema nini kuhusu Hazbullah wanawaogopa si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom