Waoooo Karibu kwetu

Akitaka apakatwe, apewe mate......
Huu wimbo wa wakenya mwenye nao naomba anisaidie kuuambatanisha na picha hii hapa chini.

 
Halafu kumamaniana na kuhemeana juu hivyo:glasses-nerdy:
 
Ilibd auondoe mkono mwenyewe. Wasaidizi sijui walikua wapi.
 
anaitwa Bon Yayi Rais wa Benini na Mwenyekiti wa sasa wa AU, anaonekana ana upendo sana
 
Mwenyewe anachekelea sijuia limuuliza una shan''. Wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…