Waongeza wowowo wote, angalizo

Kila wakati wanaume wanapiga kelele huku kuwa wanapenda wanawake wenye "mikia"..wenye akili za kushikiwa wanahadaika na kutafuta ya kichina. Wanaweka afya zao rehani kwa ajili ya kuwaridhisha viumbe ambao hawakuzaliwa nao na wala hawatakufa nao.
 
Wanayakuza mawowo kimchina mchina na wanaume wakiyaona mawowo "mikia" wanapiga rungu huko huko mkiani Shida inakuja kutokea yanalainika Kwa sababu ya kupigwa rungu zaidi yanakuwa matepetepe na ya nashuka hovyo Kuelekea magotini ahahhaahaaha
Kabox kangu kakushikia skirt isiporomoke kananitosha Sana tu sitaki Shida hizo
 
Mbaya zaidi ni kuwa kinadada siku hizi kujibadilisha makalio imekuwa kawaida

Wanaweza kuvutia kwa muda ila madhara hayaepukiki

Kwa kuwa wengi hupenda muonekano na pia wanajua yapo madhara katika madawa hayo, wengine hutumia njia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…