Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.
Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.
Kwani wifi wewe hujawahi kukaa vibaya mbele ya kaka yako? Hakupata mhemko; so hata wanaoyanyanyua mwnyonyo na vitovu nje bado anawaona masister tu waliopinda kidogo. Si wewe lkn! LOL
Nami naamini it is all kuendekeza tu, na kama kuwezi kuitune au kuitrain mind yako basi unaweza usisurvive katika kizazi tunachoelekea. Maana ndani ya miaka 10 ijayo kutembea na vishort kama vichupi barabarani mchana itakuwa ni sawa na kuvaa suruali ya kitambaa kwa wadada.
In early 2000 wakati naanza kazi mikoa ya pembezoni, nilikuwa Mvaa suruali peke yangu; sasa hivi hata vijijini wamama wanavaa!
Remind me why l love you?
Mmmmwaaah!
Nami wanaume wote ambao si Eiyer nawaona baba zangu hata kama wameturn 18 jana!
siwaonei wivu manake mnaface mengi aisee. Ukimwi na money chopping! Mie nikipanga budget yangu nabakia na mahela ya shopping, akhuu! Umtongoze akukatae kwa nyodo, bado ashakunywa bia zako (na makoo yao yana turbo charger zinatumia savannah). Ni shida tu, sioni wivu aisee. Mi nikitongozwa ujue ndo nna chance ya kuchop ze money!We naweee....
Si useme tu unatuonea wivu? Yaani hizi totoz zinavyozidi kung'aa na mipododo afu eti tuwafanye kama dada zetu? Says who?
Yuko wapi Fidel80 pale napomhitaji namna hii?
siwaonei wivu manake mnaface mengi aisee. Ukimwi na money chopping! Mie nikipanga budget yangu nabakia na mahela ya shopping,! Umtongoze akukatae kwa nyodo, bado ashakunywa bia zako (na makoo yao yana turbo charger zinatumia savannah). Ni shida tu, sioni wivu aisee. Mi nikitongozwa ujue ndo nna chance ya kuchop ze money!
Kimefika kipindi wanaume wanalamba mabinti zao, seuze dada zao?
Nyi jidanganyeni tu. Tutajifanya kama tunawaona dada zetu, na mkikaa vibaya (kama kawaida yenu) tunawalamba kilaiiiini.
You must be sick in head kumlamba binti yako.
Anyway, umenikumbusha story ya "kamshinda mama yake, wallah".
Hahahah! Umeona eh? heri mtoa mada angesema tuwaone kama mabinti zetu kuliko dada zetu. Dada mbona wanalambika tu?
BTW ushasahau DNA ilithibitisha asilimia kubwa ya watoto mnatubambika? Kwanini tusiwalambe sasa wakati si mabinti zetu? Mnayataka wenyewe bana.. Mkuki kwa nguruwe siyo? Kanilambia mke wangu nami namlambia binti yake. Ngoma droo!
Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.