Waone wanawake wote tofauti na mkeo kuwa ni dada zako . . . . . . . !!

Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,267
Points
2,000
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,267 2,000
Imezoeleka kuwa,mwanamke mwenye maumbile ya aina fulani,kama vile makalio makubwa au miguu "kama chupa ya bia" anapopita mbele ya wanaume,wanamtamani.
"
Lakini mwanamke huyo huyo unaweza kukuta ana ndugu wa kiume nyumbani wanapomuangalia wanamuona kama mwanaume mwenzao tu.Hawasisimkwi!
"
Lakini ndugu hao hao wakitoka nyumbani kwao halafu wakakutana na mwanamke kama huyo huyo,wanachanganyikiwa.
"
Kwanini?
"
Unaweza kutaka kuniambia kuwa,sababu ni dada ndo maana humtamani.Lakini inawezekanaje hii?
"
Ukweli ni kuwa,hili ni jambo la kimaamuzi zaidi,umeambiwa hivyo na ukaamini na ukaukataza mwili wako kutamani.Neno dada au ndugu ni kivuli tu,ndo maana walioamua kutokiona kivuli hicho wameweza kufanya ngono na dada zao.
"
Kuna uwezekano mkubwa tukiutumia ufaham huu tukaweza kudumisha uaminifu kwenye ndoa zetu.
"
Uwaone wanawake wote tofauti na mke wako kuwa dada zako!
"
Na uamue hivyo,itaweza kusaidia kuzuia mihemko ya hovyo barabarani!
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Points
2,000
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 2,000
Remind me why l love you?

Mmmmwaaah!
Nami wanaume wote ambao si Eiyer nawaona baba zangu hata kama wameturn 18 jana!
 
Last edited by a moderator:
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,835
Points
2,000
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,835 2,000
Baada ya miaka mingi humu JF hatimaye leo nimesoma kitu ambacho ni constructive kwenye jukwaa la MMU. Nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu. May God bless you.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
Baelezee baelezee baeleweeeee!!! Kazi macho kodo kodo tu..wakati una mtoto mkali nyumbani..
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,690
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,690 2,000
Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Mwanangu hapa umezama kwenye psychology. Nimependa analysis yako hata kama ni fupi. Kimsingi mapenzi au mvuto si kile unachokiona bali unachounda kwenye mawazo yako. Ndiyo maana hakuna mwanamke mbaya wala mzuri au mwanaume duniani. Tungetumia mizania tunayotumia kuwaangalia wanyama kwa mfano mbuzi, tusingesumbuliwa na hizi tamaa ambazo kimsingi ni hallucination kama siyo illusions.
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Points
2,000
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 2,000
Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.
Kwani wifi wewe hujawahi kukaa vibaya mbele ya kaka yako? Hakupata mhemko; so hata wanaoyanyanyua mwnyonyo na vitovu nje bado anawaona masister tu waliopinda kidogo. Si wewe lkn! LOL

Nami naamini it is all kuendekeza tu, na kama kuwezi kuitune au kuitrain mind yako basi unaweza usisurvive katika kizazi tunachoelekea. Maana ndani ya miaka 10 ijayo kutembea na vishort kama vichupi barabarani mchana itakuwa ni sawa na kuvaa suruali ya kitambaa kwa wadada.

In early 2000 wakati naanza kazi mikoa ya pembezoni, nilikuwa Mvaa suruali peke yangu; sasa hivi hata vijijini wamama wanavaa!
 
I

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
1,958
Points
2,000
I

iMind

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
1,958 2,000
Hii haiwezekani, huwezi kuona kila mwanamke ni dada yako kwa kuwa siyo dada ako. Bibadamu anaweza kudanganywa lakini Hawezi kujidanganya.

Na ikumbwe si kila unaye mwanamke mzuri mwanaume hutaka kufanya nae mapenzi. Na siyo kweli kuwa watu hawatamani ndugu zao. Wanawatamani dada zao, watoto wao etc.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,501
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,501 2,000
Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.
We naweee....

Si useme tu unatuonea wivu? Yaani hizi totoz zinavyozidi kung'aa na mipododo afu eti tuwafanye kama dada zetu? Says who?

Yuko wapi Fidel80 pale napomhitaji namna hii?
 
Last edited by a moderator:
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Points
1,225
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 1,225
Kweli kabisa ni maamuzi.......kama vile mimi nilivyoamua kuona JF members ni brothers and uncles. Ukishaanza kumuita mtu dada na kuweka heshima au mtu akakupa heshma kama kaka ni mtihani kumuingia.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,690
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,690 2,000
Kwani wifi wewe hujawahi kukaa vibaya mbele ya kaka yako? Hakupata mhemko; so hata wanaoyanyanyua mwnyonyo na vitovu nje bado anawaona masister tu waliopinda kidogo. Si wewe lkn! LOL

Nami naamini it is all kuendekeza tu, na kama kuwezi kuitune au kuitrain mind yako basi unaweza usisurvive katika kizazi tunachoelekea. Maana ndani ya miaka 10 ijayo kutembea na vishort kama vichupi barabarani mchana itakuwa ni sawa na kuvaa suruali ya kitambaa kwa wadada.

In early 2000 wakati naanza kazi mikoa ya pembezoni, nilikuwa Mvaa suruali peke yangu; sasa hivi hata vijijini wamama wanavaa!
lol, wifi mie sijawahi kukaa vibaya (ila kwenye cleavage kiduchu nisidanganye, na leggings mmh! ). Nina hakika kaka zangu kwa maadili yetu hawezi kunitamani. Japo recently kuna kashfa ya baba mdogo kutembea na mke wa mtoto wa kakake. Sijui hata inakuwaje haya mambo. Ila aliyesimama na ajiangalie asianguke tu wifi yangu.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,501
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,501 2,000
Remind me why l love you?

Mmmmwaaah!
Nami wanaume wote ambao si Eiyer nawaona baba zangu hata kama wameturn 18 jana!
Kimefika kipindi wanaume wanalamba mabinti zao, seuze dada zao?

Nyi jidanganyeni tu. Tutajifanya kama tunawaona dada zetu, na mkikaa vibaya (kama kawaida yenu) tunawalamba kilaiiiini.
 
Last edited by a moderator:
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,690
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,690 2,000
We naweee....

Si useme tu unatuonea wivu? Yaani hizi totoz zinavyozidi kung'aa na mipododo afu eti tuwafanye kama dada zetu? Says who?

Yuko wapi Fidel80 pale napomhitaji namna hii?
siwaonei wivu manake mnaface mengi aisee. Ukimwi na money chopping! Mie nikipanga budget yangu nabakia na mahela ya shopping, akhuu! Umtongoze akukatae kwa nyodo, bado ashakunywa bia zako (na makoo yao yana turbo charger zinatumia savannah). Ni shida tu, sioni wivu aisee. Mi nikitongozwa ujue ndo nna chance ya kuchop ze money!
 
Last edited by a moderator:
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,501
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,501 2,000
siwaonei wivu manake mnaface mengi aisee. Ukimwi na money chopping! Mie nikipanga budget yangu nabakia na mahela ya shopping,! Umtongoze akukatae kwa nyodo, bado ashakunywa bia zako (na makoo yao yana turbo charger zinatumia savannah). Ni shida tu, sioni wivu aisee. Mi nikitongozwa ujue ndo nna chance ya kuchop ze money!
Hahahaha! Naenda kukusemelea kwa mama.
Sasa nikishaukwaa na nikishachunika mwanamke mwenzio si ndo anaathirika?
Waonee huruma wanawake wenzio bana!
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Points
2,000
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 2,000
Kimefika kipindi wanaume wanalamba mabinti zao, seuze dada zao?

Nyi jidanganyeni tu. Tutajifanya kama tunawaona dada zetu, na mkikaa vibaya (kama kawaida yenu) tunawalamba kilaiiiini.
You must be sick in head kumlamba binti yako. Ujue hata Sokwe hawawalambi dada zao wala mama zao; ila kuna record moja Gombe, kikwete wao wa kipindi fulani, akamlamba mama yake; lkn alikuwa amechanganyikiwa hivi!

Anyway, umenikumbusha story ya "kamshinda mama yake, wallah".
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,501
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,501 2,000
You must be sick in head kumlamba binti yako.

Anyway, umenikumbusha story ya "kamshinda mama yake, wallah".
Hahahah! Umeona eh? heri mtoa mada angesema tuwaone kama mabinti zetu kuliko dada zetu. Dada mbona wanalambika tu?

BTW ushasahau DNA ilithibitisha asilimia kubwa ya watoto mnatubambika? Kwanini tusiwalambe sasa wakati si mabinti zetu? Mnayataka wenyewe bana.. Mkuki kwa nguruwe siyo? Kanilambia mke wangu nami namlambia binti yake. Ngoma droo!
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Points
2,000
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 2,000
Hahahah! Umeona eh? heri mtoa mada angesema tuwaone kama mabinti zetu kuliko dada zetu. Dada mbona wanalambika tu?
BTW ushasahau DNA ilithibitisha asilimia kubwa ya watoto mnatubambika? Kwanini tusiwalambe sasa wakati si mabinti zetu? Mnayataka wenyewe bana.. Mkuki kwa nguruwe siyo? Kanilambia mke wangu nami namlambia binti yake. Ngoma droo!
Mungu wangu, nilihisi wenye vichwa vibovu kama wewe mtakuwa mshapata sababu ya kuwalamba binti zenu, kisa hamna uhakika kama ni wa kwenu! Twafwaa!

Nizae midume tu miye! LOL
 
C

chicco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
748
Points
225
C

chicco

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
748 225
Kakangu, nasema taratibu wifi asisikie. That is easier said than done. Na siku hizi wote ni manyonyo na makalio hadharani! Nawaonea huruma wanaume wote kwa kweli.
na mnatukamata wengi kweli kwa hilo!!!siku hizi mna dizaini zenu za sidiria zinayabana yanajaa kwa juu ukimchukua kumpeleka 6*6 mamaangu vile unaweza nyonyea hata mgongoni!!!lapaaa
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Hiyo itakuwa ngumu sanaaaaaaaa! All them big bootys, big boobs, visketi kama chupi, cheni kiunoni, macho legelege ni hatariiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ingekuwa rahisi sana kama wanawake wangekuwa hawategi, na kutoa invitation to treaty!!!!!!!! Ila ukishapokea invitation to treaty ni ngumu sanaa kutotoa offer yako!
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,679
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,679 2,000
Baada ya miaka mingi humu JF hatimaye leo nimesoma kitu ambacho ni constructive kwenye jukwaa la MMU. Nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu. May God bless you.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wacha kujidanganya wewe.

028.jpg
 
Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,790
Top